MPIGIE KURA ANGEL KILIMUSIC AWARDS

Social Icons

Monday, 10 December 2012

CIARA APIGA PICHA ZA UCHI

                                                     Ciara akionekana uchi na michoro ya
                                                                urembo mwilini

Sasa ni Ciara baada ya wasanii wengi kupiga picha za utupu akiwemo Amber Rose na Kim Kardashian.Inasemekana picha hii ya uchi ya Ciara ilipigwa kwa madhumuni ya kumtumia 50cent,msanii mwenzake ambaye ni mpenzi wake kama zawadi katika Birthday yak.

Hiki kipindi,picha hazijavuja kutoka kwenye simu au email,ila zimetoka kwenye moja ya upigaji wa picha kwa ajili ya photoshoot.Muimbaji huyo anaonekana amependeza katika michoro ya urembo mwilini bila kujua kama siku itaonekana mbele ya jamii

No comments:

Post a Comment